Uchambuzi wa Nehemia 4: Miko na Mapanga — Wakati Dhihaka Inapojaribu Kazi ya Ukarabati
- Pr Enos Mwakalindile
- 2 days ago
- 1 min read

Ukuta unaanza kuinuka, na ndivyo kicheko cha dhihaka cha maadui kinavyoongezeka. Mawe yanainuliwa kutoka mavumbini, lakini maneno yanarushwa kama mishale. Yerusalemu inajifunza kuwa kujenga upya kamwe si kazi ya uashi pekee; ni vita vya matumaini dhidi ya aibu, sala dhidi ya hofu, na miko na mapanga yaliyoshikiliwa kwa nguvu dhidi ya vitisho.




Comments