Nidhamu za Kiroho: Kukua Katika Imani - Mwongozo #9
- Pr Enos Mwakalindile
- Apr 29
- 1 min read
NIDHAMU ZA KIROHO ni mwaliko wa kushusha mizizi ndani ya Mungu ili maisha yako yasibebwe na upepo wa kila hali, bali yakue katika uthabiti, amani, na uaminifu. Somo hili linatukumbusha kwamba Neno la Mungu, maombi, na ibada si shughuli za pembeni, bali ni njia za neema zinazoujenga moyo kwa ndani na kuufundisha kuishi karibu na Mungu kila siku. Hivyo, kwa hatua ndogo lakini za uaminifu, tunaanza kukua si kwa msukumo wa muda mfupi, bali kwa mizizi ya kweli inayobeba matunda ya kudumu katika Kristo.

Kwa Tafakari Zaidi Sikiliza:
Somo Lijalo: Kushinda Uraibu na Majaribu – Kutembea katika uhuru wa kweli.




Comments