top of page



WALAWI 8 - KUWEKWA WAKFU KWA KUHANI: MPAKO WA HUDUMA YA AGANO
Katika Walawi 8 tunamwona Haruni akivalishwa mavazi ya utukufu, akitiwa mafuta ya upako, na kupakwa damu ya sadaka—ishara ya kuwa kuhani wa Mungu. Katika Kristo, tunaalikwa si tu kuangalia ibada hii ya kale, bali kuiishi katika mwili wetu kwa kujitakasa na kujitoa kikamilifu kwa ajili ya huduma ya kiroho ya agano jipya.
Pr Enos Mwakalindile
Jul 175 min read


WALAWI 1 - SADAKA YA KUTEKETEZWA: MLANGO WA KUINGIA
Sadaka ya kuteketezwa ni mlango wa ibada ya kweli. Kupitia Kristo, tunaalikwa kuja na maisha yetu yote mbele za Mungu—si sehemu tu. Moto wake hushuka pale tunapojitoa bila kubakiza kitu.
Pr Enos Mwakalindile
Jul 144 min read


WALAWI 2 - SADAKA YA NAFAKA: KAZI YA MIKONO YETU KAMA HARUFU NZURI MBELE ZA MUNGU
A grain offering is an offering of ordinary work. To God, even flour and oil can be a sweet aroma, provided they are offered with a holy heart. Your work can be an act of worship.
Pr Enos Mwakalindile
Jul 145 min read


WALAWI 3 - SADAKA YA AMANI: SHIRIKI MEZA MOJA NA MUNGU: KARIBU, MSHIRIKA WA AGANO
Sadaka ya amani ni sadaka ya kushiriki—si sadaka ya kuteketezwa. Hapa, mtoaji haondoki; anakaa mezani na Mungu. Ni wito wa urafiki wa agano. Karibu katika meza ya neema.
Pr Enos Mwakalindile
Jul 145 min read


WALAWI 4 - SADAKA YA DHAMBI: REHEMA INAYOTUTANGULIA HATA KABLA HATUJAONA MAKOSA YETU
Hata dhambi zisizojulikana zinaweza kusamehewa. Mungu alitengeneza njia ya utakaso hata kabla hatujagundua kosa letu. Yesu ni sadaka yetu ya dhambi isiyo na doa.
Pr Enos Mwakalindile
Jul 144 min read


WALAWI 5 - SADAKA YA HATIA: KUMKARIBIA MUNGU NI KUMTENDEA HAKI JIRANI
Sadaka ya hatia si desturi ya zamani tu, bali ni mwaliko wa Mungu wa kurekebisha tuliyovunja. Katika Walawi 5–6, tunaona kwamba huwezi kumrudia Mungu kweli kweli ikiwa bado hujamrudishia jirani haki yake. Sadaka hii hutuita kuacha maneno na kuanza matendo—na kutuongoza kwa Yesu aliyebeba hatia yetu na kuturejesha katika familia ya Mungu.
Pr Enos Mwakalindile
Jul 135 min read


WALAWI 6 & 7 - HUDUMA YA MADHABAHU– AGIZO LA MOTO WA SADAKA YA BWANA
Kumkaribia Mungu: Tembelea Walawi, Mtazame Kristo Ni nini kinachopaswa kuwaka daima ndani ya moyo wa mwabudu wa kweli—bila kuzimika hata...
Pr Enos Mwakalindile
Jul 134 min read


UTANGULIZI WA WALAWI: KUISHI UWEPONI MWA MUNGU
Walawi si tu kitabu cha sheria—ni mlango wa neema, utakatifu na uwepo wa Mungu. Ndani yake tunajifunza jinsi ya kuishi kama watu wa agano: kwa sadaka, toba, haki, na ibaada ya kila siku. Katika Kristo, kila ukurasa wake huwa hai.
Pr Enos Mwakalindile
Jul 135 min read
bottom of page