top of page

Matokeo ya Unachotafuta

165 results found for "walawi 9"

  • WALAWI 9 - SADAKA YA DHAMBI

    Kumkaribia Mungu: Tembelea Walawi, Mtazame Kristo Je, kuna njia ya kurejea baada ya kuanguka? UTANGULIZI WA IBAADA: KUREJEA BAADA YA KUDHOOFU Sura ya tisa ya Walawi ni kilele cha maandalizi yote SURA YA 9 Soma kwa makini jinsi Haruni anavyoelekezwa kutoa sadaka ya dhambi kwa ajili yake mwenyewe Damu ya sadaka hiyo inanyunyizwa juu ya madhabahu (mst. 9), na sehemu za ndani na mafuta huteketezwa MUHTASARI WA MAFUNZO Katika Walawi 9, tunaona kwamba njia ya kurejea kwa Mungu daima iko wazi—kwa msingi

  • WALAWI 16 – SIKU YA UPATANISHO

    Tazama pia Waebrania 9:11–12. 2. yake, akitengeneza njia kwa watu wake kuingia huko na kupata utakaso wa kweli na wa milele (Waebrania 9: Agano Jipya, pumziko hili linafanana na pumziko la kiroho linalopatikana katika Kristo (Waebrania 4:9– aliingia patakatifu na damu, ndivyo Kristo alivyotoa maisha yake kwa ajili ya wanadamu wote (Waebrania 9: kama sadaka inayoondoa dhambi (Yohana 1:29) na Kuhani Mkuu anayewaingiza kwa Mungu (Waebrania 7:25; 9:

  • WALAWI 26 – BARAKA NA LAANA

    Kumkaribia Mungu: Tembelea Walawi, Mtazame Yesu Tunajifunza nini kuhusu uaminifu wa agano na matokeo Utangulizi Walawi 26 ni kama kilele cha simulizi la Agano la Sinai—Mungu akiwaita Israeli washikamane Mungu aliahidi kukaa “katikati yao” kama katika bustani ya Edeni (Walawi 26:11–12) akiwaita kuwa taifa Uchambuzi wa Walawi 26 1. Urejesho unaoahidiwa hapa unafika kilele katika pumziko la Agano Jipya (Waebrania 4:9–10) na katika matumaini

  • WALAWI 23 – SIKUKUU ZA BWANA

    Sadaka ya malimbuko  (23:9–14) – kutoa matunda ya kwanza kwa Mungu. Waebrania 4:9–10 inaona Sabato ikitimia katika Kristo, ambaye hutupatia pumziko la neema . SADAKA YA MALIMBUKO – MATUNDA YA KWANZA (23:9–14) Malimbuko yalitangaza kuwa mavuno yote ni mali ya Bwana Walawi 16 inaonyesha ubunifu wa Mungu katika kusamehe. Yesu, kwa damu yake, ametimiza upatanisho mara moja tu (Waebrania 9:12).

  • WALAWI 19 – UTAKATIFU KATIKA KILA SIKU

    Kumkaribia Mungu: Tembelea Walawi, Mtazame Kristo Je, maisha ya kawaida yanaweza kuwa madhabahu ya utakatifu UTANGULIZI Walawi 19 ni sehemu ya “Kanuni ya Utakatifu”  (Holiness Code), ambayo inaunganisha sheria za maisha ya kila siku na wito wa kuwa watu wa agano wanaomwakisi Mungu Mtakatifu (Walawi 19:2). UTAKATIFU WA MAHUSIANO – Mist. 9–18 Agizo la kuacha sehemu ya mavuno kwa maskini na wageni (mist. 9–10 upendo wa jirani unamaanisha kushughulika na maskini, wageni na uadilifu wa kibiashara (Yakobo 2:8–9)

  • WALAWI 8 - KUWEKWA WAKFU KWA KUHANI: MPAKO WA HUDUMA YA AGANO

    jipya, tunavikwa Kristo mwenyewe (Wagalatia 3:27), na tunaitwa kuwa ukuhani wa kifalme  (1 Petro 2:9) naye alitoa damu yake mwenyewe, si ya mnyama, ili kutuweka wakfu kwa huduma ya milele.” — Waebrania 9: Alitiwa mafuta na Roho kwa wingi (Yohana 3:34) Alitoa damu yake kwa ajili ya wokovu wetu (Waebrania 9: Somo Lijalo: “Sadaka kwa Ajili ya Dhambi – Walawi 9” Je, kuna njia ya kurejea baada ya kuanguka? Waebrania 5:4–10; 9:11–14 , Biblia Takatifu .

  • UTANGULIZI WA WALAWI: KUISHI UWEPONI MWA MUNGU

    Lakini ujumbe wa Walawi unaenea kwa taifa zima. Safari ya Neema, Utakatifu na Uwepo: Mambo ya Walawi Kwa Mtazamo wa Kimaudhui Walawi 1–7: Njia ya Kumkaribia Kutazama Walawi Kupitia Mwanga wa Kristo: Fumbo la Mwana-Kondoo wa Mungu Katika Agano Jipya, Walawi linaangaza Lengo la Somo: Kujengwa kama Jamii ya Mungu Kupitia Walawi Kupitia Walawi, tunajifunza si tu kuhusu sadaka (Walawi 26:12) Kila Siku Katika Walawi: Mpango wa Kusoma Kwa Maisha ya Ushirika Mtakatifu Katika siku

  • WALAWI 27 – NADHIRI NA VITU VILIVYOWEKWA WAKFU

    Kumkaribia Mungu: Tembelea Walawi, Mtazame Yesu Je, nadhiri na vitu vilivyowekwa wakfu kwa Bwana vinatufundisha UTANGULIZI NA MUKTADHA Sura hii ya mwisho ya Walawi inafunga kitabu kinachoeleza jinsi watu wa agano Wakati sura zilizotangulia zilikazia maisha ya kila siku, ibaada, na usafi, Walawi 27 inaleta wazo la Wanyama waliowekwa nadhiri (9–13)  – sadaka ya wanyama safi na kanuni za ukombozi wa wanyama wasiofaa Nadhiri katika Walawi 27 zinaonyesha uhusiano wa agano unaojengwa kwa upendo wa hiari.

  • WALAWI 14 – UTAKASO NA UREJESHO WA DHATI

    Kumkaribia Mungu: Tembelea Walawi, Mtazame Kristo Je, umewahi kuhisi kwamba maisha yako, ingawa umepona UTANGULIZI NA MUKTADHA Sura hii ni mwendelezo wa Walawi 13 kuhusu uchunguzi wa ugonjwa wa ngozi. mwili na nywele (mst. 8–9) Sadaka madhabahuni na upako wa damu na mafuta (mst. 10–32), pamoja na nyumba MUUNDO WA SOMO LA SURA HII Utakaso wa Mwili na Nafsi – MIST. 1–9 Hapa tunaona jinsi mtu aliyekuwa najisi Kristo alikufa (ndege aliyechinjwa) na akafufuka (ndege aliyeachwa huru) ili tuwekwe huru (Waebrania 9:

  • WALAWI 11 – USAFI WA MWILI, UTAMBUZI WA ROHO

    UTANGULIZI NA MUKTADHA Walawi 11 haizungumzii tu aina za vyakula. 11:24-28; 1 Yohana 1:9). Mungu hutakasa waaminio: Petro alifunuliwa kuwa Mungu amesafisha kila kiumbe aaminiye (Matendo 10:9– au wazinzi, wakihimizwa kujitenga na mwenendo wa dhambi ili kudumisha usafi wa moyo (1 Wakorintho 5:9– Biblia , Walawi 11; Marko 7:20–23; Matendo 10:9–16 – maandiko ya msingi yanayoonesha mpito kutoka usafi

  • WALAWI 10– DHAMBI ISIYOSAMEHEKA: KUDHARAU UTAKATIFU WA MUNGU

    Kumkaribia Mungu: Tembelea Walawi, Mtazame Yesu ❓ Je, ni nini kinachotokea tunapodharau utakatifu wa SOMA KWANZA – WALAWI 10:1–20 Chukua muda kusoma sura nzima kwa utulivu. Sheria za awali (Kutoka 30:7–9) ziliweka wazi kwamba uvumba unapaswa kuchomwa kwa utaratibu uliowekwa 32:1–8), na walipuuzia amri kuu ya kumpenda Bwana Mungu wao kwa moyo wote (Kumbukumbu la Torati 6:4–9) alikubali, akitambua kwamba Mungu hutazama moyo wa mtu zaidi ya matendo ya nje (linganisha na Hesabu 18:9

  • WALAWI 1 - SADAKA YA KUTEKETEZWA: MLANGO WA KUINGIA

    Soma Kwanza Tafadhali soma Mambo ya Walawi Sura ya 1  kwa utaratibu. ) Kumchinja mnyama  na kuhani kuchukua damu (mst. 5) Kuteketezwa kikamilifu  juu ya madhabahu (mst. 9, harufu nzuri kwa Mungu.” — (Waefeso 5:2) DAMU, MOTO, NA HARUFU NZURI: MCHAKATO WA TOLEO – MSTARI 5–9 MUHTASARI WA MAFUNZO Mambo ya Walawi 1 ni mlango wa kwanza wa hekalu la neema. MATUMIZI YA MAISHA Kumbuka kwamba moto wa madhabahu ulipaswa kuwaka daima (Walawi 6:13).

Image of a white top mauntain standing behind savana plain showing the wisdom of Creator God

Tutumie ujumbe,

nasi tutakujibu punde.

An image of Pr Enos Mwakalindile who is the author of this site
An image of a tree with a cross in the middle anan image of a tree with a cross in the middleaisha Kamili"

Unafurahia huduma hii ya Neno la Mungu bila kulipa chochote kwa sababu wasomaji kama wewe wameitegemeza kwa sala na sadaka zao. Tunakukaribisha kushiriki mbaraka huu kupitia namba +255 656 588 717 (Enos Enock Mwakalindile).

bottom of page