Uchambuzi wa 1 Wafalme 11 — Moyo Uliopasuka Kama Madhabahu, Miungu Iliyoletwa Kama Zawadi za Ndoa, na Ufalme Ulioraruliwa Kama Kitambaa: Wakati Hekima Inaposahau Kupenda
- Pr Enos Mwakalindile
- Feb 7
- 1 min read
Updated: Feb 19
Anguko la ufalme halianzi na upanga.
Linaanza na kiti mezani.
Kitanda cha ndoa.
Madhabahu ndogo “kwa tahadhari tu.”
Linaanza wakati upendo unagawanyika
na ibada inageuka kitu cha majadiliano.
Kisha—taratibu—
madhabahu zinaongezeka,
Jina linachanganywa,
na moyo uliowahi kuomba hekima
unasahau kuomba uaminifu.
Hii ni 1 Wafalme 11

Mfalme Sulemani akawapenda wanawake wengi wageni, pamoja na binti yake Farao, wanawake wa Wamoabi, na wa Waamoni, na wa Waedomi, na wa Wasidoni, na wa Wahiti, 2 na wa mataifa Bwana aliyowaambia wana wa Israeli, Msiingie kwao, wala wasiingie kwenu; kwa kuwa hakika wataigeuza mioyo yenu kuifuata miungu yao. Sulemani akaambatana nao kwa kuwapenda. ...




Comments